Header Ads Widget

BREAKING:CHARLESY AFARIKI DUNIA GHAFLA AKIKIMBIZWA HOSPITAL




  Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary afariki Dunia Alfajiri ya leo Mei 11, 2025

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya karibu Hiraly amefariki dunia baada ya kuugua na leo alfajiri wakati  akikimbizwa hospital ya  Muhimbili tawi la Mlanganzila amefikwa na mauti .

katika uhai wake kabla ya kwenda Ikulu ya Zanzibar kuwa Msemaji wa Rais,amefanya kazi katika vyombo mbali mbali vya nje kama BBC .

TAARIFA KWA KINA INAKUJIA HIVI PUNDE

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI