Header Ads Widget

MWENGE WA UHURU 2025 WAMULIKA MIRADI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.1 KISARAWE



Mwenge wa uhuru mwaka 2025 wilayani Kisarawe umekagua miradi yenye thamani ya zaidi ya Tshs. Bilioni moja, milioni mia moja tisini utakimbizwa umbali wa kilometa 195 na kukagua jumla ya miradi 07 ya maendeleo.



Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akitoa taarifa wakati wa kupokea Mwenge wa uhuru wa mwaka 2025 katika wilaya ya Kisarawe ukitokea wilayani Kibaha katika viwanja vya Kiluvya madukani ambapo katika fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani kutoka Halmashauri ya Wilaya, kutoka Serikali Kuu, Wahisani na nguvu za Wananchi.


Magoti amesema maendeleo miradi 03 itazinduliwa, mradi 01 utawekewa jiwe la Msingi na miradi 03 itakaguliwa,

+++++

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI