Mkurugenzi wa kampuni ya Rick ambae ni mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa akiwakilisha wilaya ya Kilolo Leo ametembelea ofisi za Matukio Daima Media akiwa na gari la kihafari lenye namba za usajili wa jina lake kwa lugha ya kihehe BK Mvina maana yake kiswahili ni Brian Kikoti Mkubwa .
Usipitwe na Matukio Daima Tv kupata Habari zaidi 
0 Comments