Header Ads Widget

AMEANDIKA JOHN MREMA HAYA

 


Tuliotoa tahadhari leo ndio tunalaumiwa , unashauriwa usipite njia hii ina vibaka ,wewe unaenda na unakutana na vibaka ,unamlaumu aliyekushauri usipite hiyo njia ? 


Mwenyekiti Lissu alijiandaa kupita njia hii kwani anajua angepitishwa , huu utamaduni mpya wa kutengenezea watu ajali mbona wa hovyo sana ? Msikilizeni Mwenyekiti Lissu akiwa mahakamani alisema tusiogope .


Pili,njoo tuongeze nguvu ya mapambano haya , usiwe mtu wa mtandaoni unatuchochea ila hauko tayari kulipia gharama za mapambano . 


Tuunganishe nguvu ili kukinukisha ,muda na wakati ndio huu ,kama hauko tayari basi kuzuia uchaguzi ulikuwa unajiongelesha tu .


Ushauri wetu tumeshautoa kwa maandishi ,tulifanya kwa nia njema ,ninyi ambao mmeficha mbawa zenu ,ndio leo mnatafuta wa kumwangushia zigo ,hii sio sawa hata kidogo na haikubaliki .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI