Header Ads Widget

MBUNGE PROF. NDAKIDEMI ATAKA WAKULIMA KUTUMIA VIWATILIFU BORA KUTOKA PLANT BIODEFENDERS



NA WILLIUM PAUL. 

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ameendelea kupambana Bungeni kuhakikisha wakulima wananufaika na kilimo kwa kutumia viuatilifu bora.

Mbunge huyo ameuliza swali leo Bungeni  Je? Serikali ina mpango gani wa kununua viuatilifu salama vinavyozalishwa na kiwanda cha Plant - Biodefenders kilichopo Moshi. 

Naibu Waziri wa Kilimo, Ernest Silinde ameweza kujibu swali hilo.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI