Header Ads Widget

BREAKING:RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI HUU

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amehamisha majukumu ya Sekta ya Habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. 

Kufuatia maamuzi hayo, Rais amemteua Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo



 





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI