NA WILLIUM PAUL, ARUSHA.
MAMBO ni moto katika sherehe ya kumuaga Floramanka Ndakidemi mtoto wa Mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini, Patrick Ndakidemi.
Viongozi mbalimbali wa serikali na chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu wameshiriki katika usiku wa kumuaga binti huyo iliyofanyika katika ukumbi wa AICC Nyasa Hall Jijini Arusha.















0 Comments