Matukio Daima Media imetajwa kama mshiriki wa Tuzo za Samia Kalamu Awards. Ili kuiunga mkono, wapiga kura wanahimizwa kuandika ujumbe wa neno “Kura” kisha kuweka namba ya mshiriki, 24005006, na kutuma kwenda 15200.
Ada ya kupiga kura ni shilingi 100. Kura pia zinaweza kupigwa kupitia tovuti rasmi ya tuzo hizo, samiaawards.tz.
0 Comments