Header Ads Widget

JESHI LA POLISI MOROGORO LAFANYA MAZOEZI YA UTAYARI MITAANI



Na, Matukio daima App,


Askari Polisi mkoani Morogoro wanafanya mazoezi ya utayari katika mitaa mbalimbali mkoani humo, huku wakisisitiza ni ya kawaida.

   
KAMANDA WA POLISI MOROGORO, ALEX MUKAMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema wanajipanga kumshughulikia mtu ama kikundi chochote cha watu kitakachofanya vitendo vyovyote vya uhalifu ama uvunjifu wa amani na kwamba mpaka sasa mkoa uko salama.

"Haya ni mazoezi ya kawaida yanayofanywa na askari kila mara kwa ajili ya kujiweka sawa kiafya na kuwa na utayari," amesema Kamanda Mkama.

Katika mazoezi hayo, maofisa na wakaguzi wa jeshi hilo nao wameonekana maeneo mbalimbali wakitembea.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI