Header Ads Widget

HABARI PICHA: MBUNGE MBEYA VIJIJINI ACHANGIA MIL.2 UJENZI WA ZAHANATI


Mbunge wa Mbeya vijijini Mhe. Oran Njeza, ametembelea zahanati ya kijiji cha Ihango kata ya Ulenje inayojengwa kwa nguvu za wananchi ili kuepukana na kadhia ya kutembea umbali mrefu wa zaidi ya kilomita 12.




Katika ujenzi huo Mbunge wa Mbeya vijijini amewaunga mkono wananchi kwa kuchangia shilingi million mbili ili kuchochea maendeleo na kusaidia kuimarisha afya za wananchi.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI