Header Ads Widget

WAFANYAKAZI TPHPA WALIOVAA T-SHIRT ZA KIJANI WAVUTIA MWANZA

 




Wafanyakazi wa Mamlaka ya afya ya mimea na  viuatilifuy Tanzania (TPHPA) waliovaa t-shirt za kijani wakizungumza na wakazi Jijini Mwanza wakati walipotembelea bando hilo kwenye maonyesho ya sikukuu ya wakulima nane nane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyam'hongolo.


Mtaalam kutoka Makao Makuu ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania Bi Vailet Temba amesema Mamlaka hiyo imejipanga kutumia maonyesho hiyo kila kanda kutoa elimu ya Afya ya mimea kwa wananchi pia njia sahihi za udhibiti wa viuatilifu .


Kwa Mjibu  wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Prof Joseph Ndunguru amesema wameboresha mifumo ya utoaji uduma kwa wananchi na ivyo wakulima wote nchimbi watanifaika na uduma zinatolewa na TPHPA 


Aidha Prof Ndunguru amebainisha kuwa TPHPA kwa sasa wanazo ofisi katika mipaka yote ya nchi ,viwanja vya ndege pamoja na Bandari yote ikiwa ni mkakati wa kuwafikia wananchi .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI