Madaraja yakiwa yamekamilika
MNEC Salim Abri Asas kushoto akiwa na DC Iringa Kheri James na viongozi mbali mbali wa Chama na serikali
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama Cha mapinduzi Taifa (NEC) Salim Abri Asas ataka ujenzi wa Barabara ya Mchepuko Igumbilo -Tumain Iringa mjini kukamilika kwa wakati ili kusaidia kupunguza msongamano wa magari katikati ya mji wa Iringa.
Asas ameyasema hayo leo baada ya kukagua ujenzi huo wa Barabara ambao umesimama kwa muda mrefu.
Zaidi ya kiasi Cha zaidi Tsh bilioni 41 Hadi utakapokamilika
0 Comments