Mjumbe wa Taifa wa NACONGO na menyekiti wa mkoa wa Iringa Fidelis Filipatali mwenye suti ya bluu wa tatu kushoto waliokaa akiwa na wajumbe na viongozi wa NACONGO wilaya ya Kilolo baada ya Baraza la wilaya kulia kwake ni Katibu tawala wa wilaya ya Kilolo Stomen Kyando aliyemwakilisha DC kilolo

0 Comments