Pichani ni mtoto Evodia Stanslaus Kiwone, mwanafunzi wa kidato cha IV shule ya sekondari ya Forest, ana umri wa miaka 17.
Amepotea nyumbani kwao Airport ya zamani, Mbeya.
Alipotea siku ya tar 28/7/2024 na hajulikani alipo mpaka sasa tuandikapo taarifa hii leo tar 26Aug.
Tunaomba kwa yeyote, mwenye taarifa yoyote ya kufanikisha upatikanaji wake awasiliane nasi kwa simu no
0768717496 (baba)
0752494304 (mama)
Au kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye kwa RB no MWJ/RB/1161/2024
TAFADHALI SHEA TANGAZO HILI KWA WINGI KADIRI UWEZAVYO
0 Comments