Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiongoza Mbio za Great Ruaha Marathon Leo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 202 zilizofanyika ndani ya hifadhi ya Taifa Ruaha mkoani Iringa.
Mbio hizo zinalenga kukuza utalii wa Kusini na kutoa hamasa kwa jamii kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha mkuu.
Pia Mbio hizo zinaunga mkono jitihada za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuhamasisha Utalii nchini .
Pamoja na lengo kuu la kuhamasisha Utalii na utunzaji wa vyanzo vya maji mto Ruaha mkuu Waziri mkuu amehamasiaha kuhamasisha mazoezi na afya bora.
Mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zimebeba kauli mbiu ya #GreatRuahaMarathon2024
#VibeKitalii
0 Comments