TAZAMA VIDEO BOFYA LINK HII CHINI
CHUO BORA KAM COLLEGE OF SCIENCE
Mkurugenzi mkuu wa chuo cha Afya na Tiba Kam College Maarufu kama Kam College of Health Science,Daktari Kandore Musika anakukaribisha kujiunga na chuo hicho cha afya na Tiba kwa ngazi ya Diploma kwa kozi mbali mbali kama: Utabibu (Clinical Nursing), Maabara (medical Labaratory), Nursing and Phamarcy (Uuguzi na Pharmacia) pamoja na kozi nyingine nyingi za afya na tiba. Chuo kina mazingira mazuri ya kusomea na kinapatikana Kimara Korogwe jijini Dar es salaam. bila kusahu wanafunzi wote kila mwaka wanafanya mitihani kutoka wizara ya afya.
kwa mawasiliano zaidi tupigie 0784 615 663 au 0734 839 357
au website yetu www.kamcollegehealthscience.cotz
Hakika Kam Colege of Health Science ni zaidi ya chuo ajira nje nje .
0 Comments