Header Ads Widget

BREAKING:BASI LA KAMPUNI YA CLASSIC



Ajali basi la kampuni ya CLASSIC yenye namba za usajili T.682 EGU imepata ajali mchana huu Julai 30/2024 eneo la Itigi mpakani mwa Mkoa wa Singida na Tabora na kusababisha madhara kwa abiria na taarifa zaidi zitatolewa na Mamlaka husika kufahamu zaidi endelea kufuatilia taarifa mbali mbali za matukio za Matukio Daima APP.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI