Header Ads Widget

ABIRIA WAKWAMA KWA ZAIDI YA SAA MOMBA KISA ROLI KUHARIBIKA BARABARANI.

 




Abiria kadhaa waliokuwa wakisafiri kati ya Mbeya Mlowo na Kamsamba mkoani Songwe, wamekwama kwa saa kadhaa jioni ya Julai 04, 2024 katika barabara ya Mlowo Kamsamba Ivuna baada ya roli aina ya Scania kuharibika katikati ya barabara ya Mlowo Ivuna Kamsamba (Kijiji cha Ntungwa kata ya Mkomba) hadi walipotumia majembe na sururu kuchimba pembezoni mwa barabara ndipo wakafanikiwa kuendelea na safari zao ikiwa ni mabasi zaidi ya matatu na maroli mengine mawili ya mizigo.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI