Header Ads Widget

KAWAIDA AGAWA VIFAA MBALIMBALI KWA VIONGOZI WA MATAWI JIMBO LA PAJE.

 


NA WILLIUM PAUL. 



KATIKA kuimarisha uhai wa Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Kamati kuu (Mcc) Mohammed Ally Kawaida
ametembelea viongozi na wanachama wa Jimbo la Paje, Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo pamoja na mambo mengine amechangia TV (Hisense inch 43), Vingamuzi (Azam TV), Rimu za karatasi za photocopy kwa matawi yote 13 ya Jimbo hilo, pamoja na Mchele wa Mbea (kilo 100) na Rimu za karatasi kwa Shule ya Sekondari ya Mtule. 







Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI