Mfanyabiashara wa vitunguu eneo la Wenda barabara kuu ya Iringa -Mbeya Rose Kabogo akipanga vitunguu kwa ajili ya kuwauzia wateja wake Leo ,bei ya vitunguu imepanda zaidi baada ya Lita nne kuuzwa shilingi 13000 kutoka shilingi 2000 mwaka jana mwezi kama huu
0 Comments