Header Ads Widget

TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA RC SERUKAMBA AONGOZA USIKU WA MIAKA 60 YA MUUNGANO

  .                 


 






Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh.Peter Selukamba na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dr.Linda Selekwa wakiwaongoza Wananchi kusikiliza hotuba ya  Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr.Samia Suluhu Hassan katika mkesha wa maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano yaliyofanyika Viwanja vya Mashujaa Halmashauri ya Mji Mafinga Wilayani Mufindi.Picha zote na Fredrick Siwale wa Matukio Daima APP - Mufindi Iringa

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS