Header Ads Widget

MWANANCHI SHINYANGA AFUNGUKA " MAISHA YANGU YANAENDA KUBADILIKA SASA " SOKA LA AFRIKA LIMEITIKA

 

Mshindi wa promosheni ya Soka la Afrika limeitika Raphael Songalaeli (wa pili kulia)  akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 10  kutoka kwa Meneja wa Tigo Mkoa wa Shinyanga Sadock Phares, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika nyumbani kwa mshindi mtaa wa Mwadui mjini Shinyanga, katikati ni Mwenyekiti wa Mtaa huo Nuru Juma, kushoto ni Mtaalam wa huduma za ziada wa Tigo Sostenes Raphael na Meneja Masoko wa kanda ya Ziwa wa Tigo Mussa Mwakapala (kulia) .

Na Mwandishi Wetu.

Raphael Songalaeli Mkazi wa Shinyanga ameibuka mshindi wa Shilingi Milioni 10 za Promosheni ya SOKA LA AFRIKA LIMEITIKA kutoka Tigo.

Akizungumza baada ya kumkabidhi Mshindi Mfano wa Hundi Meneja wa Tigo Mkoa wa Shinyanga Sadock Phares amesema 

" Ili kuibuka mshindi unatakiwa kutuma neno SOKA kwenda 15670 ambapo baada ya hapo utatakiwa kujibu maswali rahisi sana kuhusu SOKA , na kadri unavyojibu kwa usahihi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kuibuka mshindi , Promosheni bado inaendelea ambapo zawadi za Fedha Taslimu hadi Milioni 10 zitakua zikitolewa kila siku, kila wiki na kila Mwezi , Tuma Neno SOKA kwenda namba 15670 sasa na USHINDE."

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS