Header Ads Widget

ROSE MAYEMBA ASHINDA TENA UENYEKITI CHADEMA MKOA WA NJOMBE

 


Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe  Rose Mayemba ametetea kiti hicho kwa awamu nyingine katika uchaguzi uliofanyika leo mjini Njombe akipata kura 42 sawa na 65% Kati ya kura  65 zilizopigwa huku mshindani wake katika nafasi hiyo Bwana Ahadi Mtweve akipata kura 23 sawa na 35%.


Katika uchaguzi huo Katibu wa Chadema Baraka Kivambe pia ametetea nafasi hiyo akipata kura  61 kati ya 65 zilizopigwa.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI