Header Ads Widget

BREAKING NEWS: AJALI ENEO LA IDEGE BARABARA YA MOROGORO -IRINGA YAFUNGWA





Mtu mmoja ambae ni dereva wa lori aloyefahamika kwa jina la Barick Kimaro amejeruhiwa vibaya baada ya lori lake kugongana na lori malori Mawili likiwemo tank la lafuta.

Ajali hii imetokea eneo la Idege wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro katika barabara kuu ya Morogoro -Iringa.

Ajali hii imetokea majira ya saa 7:46 asubuhi imepelekea barabara kuu ya Morogoro -Iringa kufungiwa na hakuna gari lolote linalopita.


Habari zaidi utaipata hivi punde kupitia chanel ya Matukio Daima Tv

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS