Header Ads Widget

MWENEZI MAKONDA APOKELEWA NA BULLDOZER HUKU AKIVALIA MAVAZI YA MCHIMBA MADINI






Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amepokelewa Mkoani Shinyanga kwa staili ya aina yake na ya kipekee. 


Makonda amepokelewa kwenye bulldozer huku akiwa amevalia mavazi ya uchimbaji madini. 


Kupokelewa kwa bulldozer na mavazi hayo ya uchimba madini yadhiirisha wazi Madini ya Chama Cha Mapinduzi kwa maana ya sera zenye kuijenga Tanzania imara zimewasili mkoani Shinyanga na bulldozer likimaanisha ukarabati katika maeneo yote ya Serikali ambayo utendaji kazi unasuasua ikiwa ni katika kumsadia kazi Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuyabaini na kuyafumbua.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI