Header Ads Widget

MATUKIO KATIKA PICHA UBARIKIO WA ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA MUFINDI DKT ANTONY KIPANGULA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na mbunge wa Mufindi kusini akipongezwa na mkuu wa KKKT Dkt Frederick Shoo baada ya kununua kitabu kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa kanisa kuu la Dayosisi ya Mufindi 

Waumini wakifuatilia Ibada
Viongozi wa kisiasa kutoka kushoto MNEC Taifa Richard Kasesela ,mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe na mbunge wa Makambako Deo  Sanga na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Daud Yassin wakifurahia jambo 






Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Daud Yassin akiteta jambo na naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile 



Askofu WA Dayosisi ya Mufindi Dkt Antony Kipangula (Kulia) akiwa na mkuu wa KKKT Dkt Frederick Shoo























Mkurugenzi wa Matukio Daima media Francis Godwin wa pili kushoto akiwa na waambaji wa kwaya kuu DIRA na mamake mzazi Lidya Lukuvi wa nne Kulia,wa kwanza kushoto ni mwinjilisti mstaafu wa usharika wa Tumain Mzee Mheni 

Mwinjilisti mstaafu wa usharika wa Tumain Mzee Mheni akimpongeza mkurugenzi wa Matukio Daima media Francis Godwin 











MNEC Taifa Leonard Mahenda Qwihaya akiwa na naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile Leo wakati wa Uzinduzi wa Dayosisi ya KKKT Mufindi 


Askofu Kipangula akipewa zawadi na msharika wake






Mwenyekiti wa kwaya kuu DIRA mchungaji Ilomo akimpongeza mke wa ASKOFU Kipangula 



 Picha zaidi zinakuja





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI