Header Ads Widget

 

Kwa niaba ya Jumuiya ya Umoja Wa Vijana Wa CCM,  UVCCM, Mwenyekiti wa Jumuiya UVCCM Taifa, Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamemuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi cha Shilingi Milioni Moja pesa taslimu kwa ajili ya kuchukulia fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025.


 Aidha, UVCCM Mwenyekiti wa UVCCM amemhakikishia Makamu wa Rais ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Dkt. Philip Mpango kuwa Wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa watamsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu hio ya kugombea Urais 2025



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI