Header Ads Widget

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI