Header Ads Widget

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2023 HAYA HAPA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohammed, akitangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2023 leo jijini Dar es Salaam

Baraza la mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14 2023.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dkt. Said Mohammed.


Angalia matokeo darasa la saba 2023 hapa


Kwa mujibu wa Dkt. Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024 huku wakitangaza kufuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI