Header Ads Widget

TUNDU LISSU AACHIWA HURU.


Simon Joshua - Matukio Daima App, Arusha.

Makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais katika uchaguzi wa 2020 Tundu Lissu ameachiwa huru baada ya kukamatwa juzi na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuwazuia askari polisi kutekeleza majukumu yao.


Tundu Lissu, ambaye alikamatwa akiwa na viongozi wenzake, walikamatwa hapo juzi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni makosa ya kuvunja amani ya nchi na uchochezi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI