Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kitendo cha kushambuliwa kwa waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi communication Ltd kilichotokea Jumamosi Julai 22, 2023 wakiwa wanatekeleza majukumu yao katika uwanja wa Buriaga , Temeke jijini Dar es Salaam.
0 Comments