The Rise of Capitalism kinyumbani hapa tunaita kukua kwaubepari ni moja kati ya mada nilizokuwa nazipenda sanakwenye somo la historia kidato cha 5 & 6. Moja ya vitunilivyokuwa napenda ni jinsi wazungu walikuwa wakitumia njianyingi kuingiza mfumo wao kwetu Afrika na hii inajidhihirishahata leo kwenye mfumo wa kisasa haswa kwenye soka letu.
Huko ulaya leo wiki hii ni vita vya kuifundi ndani ya uwanja, kikubwa soka lionekana na walimu wa timu zote watachuanakuonesha uwezo, lakini wewe mtu wangu wa nguvu hakikishakwenye jamvi lako hujakosea kuchagua timu la ushindi, Meridianbet wamekurahisishia kazi kwa kutoa odds kubwa namachaguo mengi bashiri kibingwa uwe bingwa.
Usiku wa mabingwa Ulaya unaenda kuweka historia kwa maranyingine tena, katika dimba la Giuseppe Meazza itawakutanishamahasimu wawili kwenye soka la Italia, Inter Milan vs AC Milan kitawaka.
Mchezo wa kwanza ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 Inter alimakalisha Milan, odds kubwa pekee zipo Meridianbet, usisahau kucheza kasino ya mtandaoni, kwenye mchezo huuMeridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Inter kwa odds kubwa 2.18 huku Milan akipewa 3.47, sare ina 3.28. Unampanani ashinde mechi hii? Bashiri Meridianbet kwa odds kubwa.
Mechi ya kisasi Man City vs Real Madrid
Hii ni mechi ngumu na huenda ikawa ngumu kidogo kuitabiri, mchezo wa kwanza Kelvin De Bryune aliinusuru City kwenyekipigo kwa bao lake la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa1-1, kwenye dimba la Etihad hii itakuwa mechi ya kisasi kwaPep Guardiola na vijana wake. Meridianbet wametoa odds kubwa kwa ushindi 1.64 City, 4.90 Madrid ashinde, sare inaodds kubwa ya 4.11, chaguo ni lako unamuamini nani kwenyemkeka wako.
Ligi ya Uropa hatua ya nusu fainali itapigwa siku ya Alhamismechi mbili, Bayer Leverkusen vs AS Roma, Sevilla vs Juventus mchezo wa kwanza uliisha kwa sare nani atafuzuhatua ya fainali?
Kwako wewe mpenzi wa kasino ya mtandaoni kuna michezomingi na sloti za kijanja za kupiga hela, pia ukijisajiliMeridianbet unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino, kujisajili ni rahisi gusa hapa
0 Comments