Mkandarasi wa mradi wa Tenk la Maji Mafinga akitoa maelezo Kwa katibu mkuu wa CCM Taifa Daniel Chongolo baada ya kutembelea kukagua mradi huo
Chongolo akishiriki Kikao Cha shina namba 3 kata ya Boma Mafinga
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa Sophia Mjema akitoa Salam
Chongolo akiwa na Viongozi mbali mbali baada ya kutembelea kituo Cha Afya IFINGO
Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Marcelina Mkini akikabidhi hati ya shukrani ya uchangiaji mzuri wa shughuli za chama na katibu wa CCM Taifa Daniel Chongolo
Mwenyekiti wa wazazi wilaya ya Mufindi Bwana Kilipamwambu akimpokelea MNEC Wazazi Taifa George Gandye hati ya shukrani toka Kwa katibu mkuu wa CCM Taifa Daniel Chongolo
Mjema akipewa zawadi na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Daud Yassin
Mkuu wa mkoa wa Iringa Halima Dendego akimsikiliza katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa Sohin Mjema (kushoto)
0 Comments