MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kinondoni imeiamrisha Hospitali ya Muhimbili kuwapima watuhumiwa watatu ambao ni Noel Ndale Mushi, Kelvin Maliki Ngao na David Brayan Johnson kama wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Amri hiyo imetolewa jana Aprili 20,2023 na kusainiwa na Hakimu Mkazi J. J Rugemalila.
0 Comments