Header Ads Widget

SOMA HABARI KUBWA MAGAZETI LEO ALHAMISI DISEMBA 29,2022:MAJALIWA AM JULIA HALI LOWASA AFRIKA KUSINI.




Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amekwenda kumjulia Hali Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,Edward Ngoyai Lowassa, aliyelazwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya afya yake huku Rais Samia Suluhu Hassan akituma ujumbe wake Johannesburg kumjulia hali na kumuombea kiongozi huyo apone haraka, ili arejee nchini akiwa na afya njema 











 













Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI