Kamishna wa Bima nchini, Dkt, Baghayo Saqware amesema ndege ya shirika la ndege la Precision Air iliyopata ajali Novemba 6, 2022 Mjini bukoba Mkoani Kagera ilkuwa na bima.
Kamishna Saqware amesema Ndege hiyo ilikuwa na bima na kwamba kampuni hiyo itapata fidia ya zaidi ya Dola za kimarekani Milioni 50(TZS Bilioni 116)
Pia kwa upande wa waathirika wa ajali hiyo fidia yao ni zaidi ya Dola Milioni 170(TZS Bilioni 396).
0 Comments