Header Ads Widget

TFF WAMFUNGIA AFISA HABARI WA AZAM

 


Afisa habari wa Azam FC Thabit Zakaria (Zakazakazi) ametozwa faini ya Tsh 500,000 na kufungiwa kujihusisha na soka katika kipindi cha miezi mitatu.

Thabit amepewa adhabu hiyo
Kutoka bodi ya Ligi kutokana na kuwashutumu waamuzi wa mchezo wa Azam FC dhidi ya Prisons kupitia mitandao yake kijamii na vyombo vya habari.

Mchezo wa Prisons dhidi ya Azam FC uliyomalizika kwa Azam kupoteza 1-0 ulichezwa katika uwanja wa Sokoine Mbeya.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS