Header Ads Widget

MATUKIO KATIKA PICHA HAFLA YA UWEKAJI WAKFU SHAMBA LA MITI YA PARACHICHI HEKARI 50 LA KKKT DAYOSISI YA MAANDALIO MUFINDI,DC SAAD MTAMBULE MGENI RASMI...

Mkuu wa Dayosisi ya maandalio ya KKKT Mufindi Dkt Anthony kipangula akikata utepe kuweka wakfu shamba la Parachichi hekari 50 Kijiji Cha Ihohanza usharika wa Mgololo Jimbo la Tumaini
Wachungaji na waumini wa KKKT Mufindi wakiwa Katika ibada ya kuweka wakfu shamba la Parachichi
Maandamano ya ibada ya kuweka wakfu Shamba 








Mwakilishi wa DC Mufindi katibu tarafa ya Kasanga akiwa kwenye maandamano 




Wageni kutoka Sweden ambao ni marafiki wa Jimbo la Tumaini wakishiriki pia 





Mkuu wa Dayosisi ya maandalio ya KKKT Mufindi Dkt Anthony kipangula akiongoza ibada 

Wachungaji wakisoma neno 


















































Mwakilishi wa DC Mufindi Saad Mtambule akikata utepe 





















































 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI