Header Ads Widget

SOMA HABARI KUBWA MAGAZETI LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 24,2022:KIBANO KIKALI BIMA YA AFYA /CHONGOLO KUONGEZA NGUVU UJENZI KANISA KKKT MAFINGA LEO


 Mkuu wa Dayosisi ya maandalio ya kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania (KKKT) Mufindi Mch Dkt Antony Kipangula anawaalika wakristo wote na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki Katika harambee ya ujenzi wa Kanisa kuu la Mafinga itakayofanyika Jumamosi September 24,2022 kuanzia Saa 3 asubuhi na mgeni rasmi atakuwa katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo 

Waweza kushiriki Harambee hii Kwa kuchangia Kwa akaunti namba hizi 
Wambi Lutheran church MUCOBA BANK 01054606
Evangelical Lutheran church in Tanzania -Mafinga NMB Bank 60202300245
Kwa mawasiliano zaidi piga 0767361437 Mchg Dr Antony Kipangula,Mchg Anuwai Mwinuka 0755252594,Mchg Tullo Kipingu 0715 265775 na mwenyekiti kamati ya Uhamasishaji Ndg Yohana Kikungwe 0754 012788












Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI