Mkuu wa Dayosisi ya maandalio ya kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania (KKKT) Mufindi Mch Dkt Antony Kipangula anawaalika wakristo wote na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki Katika harambee ya ujenzi wa Kanisa kuu la Mafinga itakayofanyika Jumamosi September 24,2022 kuanzia Saa 3 asubuhi na mgeni rasmi atakuwa katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo
0 Comments