
Mch Dkt Antony Kipangula alisema lengo la Harambee hiyo lilikuwa ni kukusanya kiasi Cha Tsh Milioni 250 ila Hadi Sasa zaidi ya Tsh Milioni 214 zimepatikana ikiwa ni pesa Taslimu na ahadi jambo ambalo ni kubwa na anaamini wengine wataendelea kuchangia na kufanikisha malengo yaliyowekwa.
Dkt Kipangula alisema harambee hiyo Bado inaendelea na wale wanaoguswa wanaweza kushiriki Harambee hii Kwa kuchangia Kwa akaunti namba hizi
Wambi Lutheran church MUCOBA BANK 01054606
Evangelical Lutheran church in Tanzania -Mafinga NMB Bank 60202300245
Kwa mawasiliano zaidi piga 0767361437 Mchg Dr Antony Kipangula,Mchg Anuwai Mwinuka 0755252594,Mchg Tullo Kipingu 0715 265775 na mwenyekiti kamati ya Uhamasishaji Ndg Yohana Kikungwe 0754 012788
0 Comments