Katibu mkuu wa CCM Taifa Daniel Chongolo kushoto akiendesha harambee Kwa ajili ya ukamilishaji wa jengo la kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania-KKKT Dayosisi ya maandalio ya Mufindi Leo katikati ni mkuu wa Dayosisi hiyo Dkt Antony Kipangula na mmoja kati ya washiriki wa harambee hiyo ,zaidi ya Tsh Milioni 214 fedha taslimu na ahadi zimekusanywa huku Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan akichangia Milioni 40 ,MNEC Salim Abri Asas akichangia Tsh Milioni 5
0 Comments