Benki ya CRDB imesema kupitia kampeni ya Tisha na TemboCard imeanda zawadi Mbali mbali kwa wateja wake ikiwiwemo kutoa zawadi ya milioni Mbili kila mwezi kwa wateja watakaotumia kadi ya CRDB - Tembo Card kufanya miamala kwa wingi.
Pia washindi wanne watasafirishwa Bure na Benki hiyo kushuhudia michuano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika Mwishoni mwa Mwaka huu nchini , Qatar
Aidha Benki ya CRBD imeandaa kitita cha shilingi milioni mbili kwa wateja watatu kila mwezi ambao watatumia huduma ya TemboCard kwa Wingi katika kufanya mihamala mbalimbali ya manunuzi
Lengo ikiwa ni Mpango wa Benki hiyo kuongeza idadi ya Watanzania wanaotumia miamala ya kidigitali ,ili kuongeza usalama wa kifedha badala ya kutumia pesa Taslimu.
Washindi wa nne wa Mwisho watasafirishwa na CRDB,Bure kwenda nchini Qatar kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia.
0 Comments