Zoezi la Sensa litahusisha pia takwimu za majengo kwenye makazi yetu, hatutakiwi kuficha takwumu za majengo yetu, lengo ni kujua Hali halisi ya maisha ya Mtanzania kuanzia anapoishi na mpaka pale ambapo serikali inataka kupeleka huduma yake,Dr. Angelina Mabula (M) waziri wa ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi.
" Zoezi la Sensa linaanza tarehe 23 hadi tarehe 28, Katika siku 6 za zoezi hilo, Hata ukifikiwa kwako tarehe 27, takwimu unazotakiwa kutoa ni zile za tarehe 23 Kwa maana ya
Usiku wa tarehe 22 kuamkia tarehe 23 ni wangapi walilala nyumbani kwako,Dkt.Angelina Mabula (M) waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi.
Nia ya serikali ni njema, na zoezi la Sensa linafanyika Kwa mujibu wa Sheria, iko Sheria ya Sensa ambayo inaongoza zoezi hili, sasa ukikwamisha kalani kufanya kazi yake, Kwa bahati mbaya au Kwa kutokujua Sheria pia inaweza pia inaweza kuchukua mkondo wake.Mwl, Hassan Masala mkuu wa wila ya Ilemela.













0 Comments