Header Ads Widget

MFANYABIASHARA TIBERY SANGA (TWO BOYS) AFARIKI AJALI YA GARI..


Diwani wa Kata ya Mivinjeni Manispaa ya Iringa Joseph Sanga anasikitika Kutangaza kifo Cha kakake Tibery Sanga (Two boys )kilichotokea usiku wa leo  Songea mkoa wa Ruvuma Kwa ajalii,Tibery alikuwa mkurugenzi wa kampuni ya Two boys inayojishughulisha na ukodishaji Muziki na majukwaa .

Mdogo wa marehemu Joseph Sanga ameueleza mtandao wa Matukio Daima APP kuwa msiba umetengwa nyumbani kwao Nyamhanga mjini Iringa Kwa taratibu za Mazishi  





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI