Header Ads Widget

SIMBA DAY SIO KAMA MADONGA

 



SIMBA DAY yajidhihirisha   wazi  sio kama tambo  za  akina Madonga  bali ni  viwango na  ubora ni baada ya  wanamsimbazi  kuitumia vema  siku yao  kushuhudia  burudani mbalimbali kutoka kwa wasani, viongozi wao  pamoja na wachezaji wao ambao wamezesha mashabiki kumaliza siku ya leo wakiwa na furaha.

Kwanza kabisa mashabiki waliamuakuujaza uwanja wa Benjamini Mkapa ili kuweza kushuhudia burudani kadhaa zikitolewa kwenye uwanja huo.

Wasanii kibao wameweza kutoa burudani mbalimbali kama Zuchu, Tunda Man na wengine kibao ambao wametoa burudani ambayo  mashabiki walizipokea kwa shangwe kwenye dimba hilo.

Nje ya burudani hizo kulikuwa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi  ya St.George ya nchini Misri na kuwafanya Simba Sc kutoka kifua mbele kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Wachezaji wapya ambao wametambulishwa leo hii wameonesha viwango ambavyo mashabiki walitarajia, wachezaji hao ni kama Nelson Okwa ambaye alifunga kwenye mchezo huo, 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI