Header Ads Widget

WAZIRI MCHENGERWA AKISAMILIANA NA WAZIRI MICHEZO WA UINGEREZA





 Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa,Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo akisalimiana na Mheshimiwa Nigel Huddleston,Waziri wa Michezo,Utalii,Utamaduni,Vijana na Taasisi zisizo za Kiserikali wa Nchini Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Nchi za Jumuiya ya Madola walipokutana katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Nchi hizo unaofanyika Birmingham,Uingereza.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI