BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) jana Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.
Zifuatazo ni shule 10 bora;
- KEMEBOS – Binafsi
- KISIMIRI – Serikali
- TABORA BOYS’ – Serikali
- TABORA GIRLS’ – Serikali
- AHMES – Binafsi
- DAREDA – Serikali
- NYAISHOZI – Binafsi
- MZUMBE – Serikali
- MKINDI – Serikali
- ZIBA – Serikali
0 Comments