MBIO za Mwenge wa Uhuru zinaendelea kupamba moto katika Mkoa wa Mwanza, ambapo sasa upo katika Wilaya ya Sengerema, huku ukiibua shangwe na nderemi kila kona mkoani humo.
Maelfu ya wakazi wa Sengerema waliojitokeza kuulaki, wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Mhe. Hamis Hussein Mwagao Tabasam, ulionesha n kuashiria matumaini makubwa Kwa Mwenge wa Uhuru.
Mbio za Mwenge wa Uhuru, zinatatajia kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Sengerema, yenye halmashauri mbili, ikiwemo ya Buchosa.







0 Comments