Header Ads Widget

ANGUKO KUBWA LA NAIBU MEYA IRINGA,JULI SAWANI ASHINDA KWA KISHINDO

 


Taarifa ambazo Matukio Daima imezipata Jioni hii na kuwa madiwani wa CCM Manispaa ya Iringa wamemchagua Kwa kura 16 Diwani wa Kata ya Kihesa Juli Sawani kuwa Naibu meya akichukua nafasi ya Likotiko Kenyata aliyepata kura 4 huku Dolla Nziku akipata kura 8

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI